monalisa

  1. GE2025 Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho. Kesi...
  2. Mh. Bwege ategua kitendawili cha Anna Komu wa WADEMA na Monalisa Ndala wa ACT

    https://vm.tiktok.com/ZMArjpvGV/ https://vm.tiktok.com/ZMArjvR83/ https://vm.tiktok.com/ZMArjpXkm/
  3. Monalisa Ndala aishtaki ACT Wazalendo ofisi ya msajili kwa kuvuliwa uanachama

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa. Mbali na hilo amesema amewasilisha...
  4. Je, Lembrus Mchome na Monalisa Ndala bado ni wanachama wa CHADEMA na ACT?

    Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao. Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa. Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
  5. GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa,awaketisha ACT na Monalisa uteuzi wa Mpina

    Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga...
  6. GE2025 ACT Wazalendo: Luhaga Mpina amejiunga na chama kitambo sana

    Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho. Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita...
  7. GE2025 Monalisa: Dorothy ni kiongozi mzuri kuliko Mpina

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
  8. GE2025 Monalisa: Kila ikifika wakati wa uchaguzi tunachukua watu wa CCM

    Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)...
  9. GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo anapinga Mpina Kugombea Urais, ahoji 'Kwanini anavaa T-shirt yenye picha ya Magufuli?

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi...
  10. GE2025 Monalisa anaendelea kukabia kooni issue ya Mpina kugombea urais ACT

    Leo amekuja na mpya tena alivyokuwa East Africa radio kuhusu kuvaa fulana yenye picha ya Hyati JPM, mpina atachomoka kweli wakuu? Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao...
  11. PreGE2025 Monalisa ajitosa kwenye viti maalum kupitia UVCCM

    Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Monalisa ambaye amejijenga na kukubalika na...
  12. Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  13. Monalisa ashinda tuzo Kimataifa ya Emmy Kids 2022

    MWIGIZAJI Mtanzania Yvonne Cherrie, maarufu kama ‘Monalisa’ ameshinda tuzo ya kimataifa Emmy Kids 2022 katika series ya ‘My Better World Show’ kwa kuingiza sauti kwa lugha ya Kiingereza. Baada ya ushindi huo, Monalisa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika “Miaka...
  14. Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
  15. Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  16. Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

    Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au? Wajuzi naombeni msaada Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa...
  17. Pic Of Your Favorite Celebrity

    Monalisa ni mmoja wa wahusika wenye vipaji na ninampenda Celeb24x7.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…