Mojtaba Hosseini Khamenei (born 8 September 1969) is an Iranian politician and Shia cleric who is the third supreme leader of Iran since 8 March 2026. A member of the Khamenei family and the second son of the second supreme leader, Ali Khamenei, he effectively served as the deputy chief of staff to his father as supreme leader, overseeing access to the latter’s office, and all political and security affairs.
Born in Mashhad into the Azeri–Persian Khamenei family, he was nine when his father emerged as a leading figure in the Iranian Revolution. He received early education in Sardasht and Mahabad, and graduated high school from Tehran; after which, he studied Islamic theology under the guidance of his father and Mahmoud Hashemi Shahroudi. He joined the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) in 1987 and served in the Iran–Iraq War. In 1999, he continued his studies in Qom to become a cleric, and joined the Qom Seminary as a theological teacher afterwards. He took control of the Basij paramilitary volunteer militia in 2009.
Following the assassination of his father in the 2026 Iran war, Mojtaba was elected as his successor by Iran's Assembly of Experts. He has previously been sanctioned by the United States Department of the Treasury in 2019 as part of their policy of sanctioning individuals linked to Ali Khamenei. In political ideology and jurisprudence, he is considered to be among the most hardline of the Iranian principlists, and has close ties to some of the "most ideologically extremist clerics" per a report from Atlantic Council. Analysts have generally seen him as more favorable to developing an Iranian nuclear weapons program than his father, supporting a reinterpretation of Ali Khamenei's fatwa against nuclear weapons.
Wakati dunia inashuhudia kuuwawa kwa viongozi madhalimu wa huko Iran watu wengi wanajiuliza Kiongozi mpya wa Kidini Ayatollah Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Kuna watu wengi wanadai jamaa hao hawaogopi kufa sasa huyu Majitaka Khamenei anatafutwa sana kwa nini hajitokezi ili afe shahidi? Adiosamigo...
Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile.
Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
Ripoti za uhakika zinadai Majitaka Khamenei alihamishiwa Moscow kwa siri baada ya kujeruhiwa vibaya katika mashambulizi ya Israeli mnamo Februari 28. Kulingana na Al-Jarida, Vladimir Putin alitoa msaada wa kusafirishwa.
Majitaka Khamenei inaripotiwa kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya...
Marekani inatoa zawadi ya dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu uongozi uliobaki wa Iran, hasa viongozi wa IRGC. Na Wahuni wengine kama Majitaka Khamenei
zitto junior gallow bird
Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata...
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amelishukuru Baraza la Wataalamu kwa kumchagua mrithi wa Ali Khamenei licha ya "tishio la Trump la kulishambulia kwa mabomu", kwa mujibu wa mashirika kadhaa ya habari ya Iran.
Ali Larijani anasema "maadui" wa Tehran walifikiri nchi "ingefikia...
China imesema inapinga hatua yoyote ya kumlenga kiongozi mpya wa juu wa Iran, Mojtaba Khamenei, kufuatia vitisho vilivyotolewa na jeshi la Israel dhidi ya mrithi huyo wa baba yake aliyeuawa, Ali Khamenei.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Guo Jiakun, aliwaambia waandishi wa habari...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hajafurahishwa na taarifa kwamba Mojtaba Khamenei amepewa nafasi ya kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei.
Trump ameeleza kuwa yeye anataka kuwa na sehemu katika kuchagua Kiongozi huyo, na kumtaja Mojtaba kama mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.