Kuchinja mnyama siku hii ya Eid ni moja ya ‘ibadah za Kiislam ambayo inatukumbusha namna ya kumpwekesha Mwenyezimungu (Subhaanahu wa Ta'alaa) na Baraka Zake kwetu, pamoja na kutupa mafunzo ya utiifu wa baba yetu Ibraahiym kwa Rabb wake na kumpwekesha Mwenyezi MUNGU. Hivyo ‘ibadah hii ya kuchinja...