mkuu wa magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bwana Jela Gereza asema hatawaruhusu viongozi wa CHADEMA kumuona Lissu sababu kesi iko mahakamani. Jaji amshangaa

    KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI. Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti...
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Paul Kisabo: Lissu atamuhoji Kamishna Mkuu wa Magereza "Shauri la Kimkataba"

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, anatarajiwa kuwahoji kwa maswali ya dodoso (cross-examination) Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la Ukonga katika Shauri la Kikatiba Namba 7300 la Mwaka 2026 mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mkuu wa Jeshi la Magereza

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu...
  4. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mkuu wa Magereza SACP Mzee Ramadhani Nyamka

    WASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA SACP. MZEE RAMADHANI NYAMKA CGP Mteule, SACP. Mzee Ramadhani Nyamka, alizaliwa mwaka 1964 Mkoani Tanga, Wilaya ya Tanga Mjini na alipata elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Muhimbili mwaka 1973 hadi 1979, na alihitimu elimu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…