mkutano wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Kanisa Katoliki Kirumba lazingirwa na Polisi kisa Mkutano wa CHADEMA, baadhi ya watu wamekamatwa

    Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo. Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.
  2. Ex Spy

    Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
  3. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Polisi kuzuia waandishi/vyombo vya habari kutekeleza majukumu yao Mkutano wa CHADEMA, Seashells Millennium ni kukandamiza sauti za upinzani

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania, hali ya kisiasa imeendelea kuwa ya mashaka, hasa kwa upande wa vyama vya upinzani. Tukio la Jeshi la Polisi kuzingira hoteli ya Seashells Millennium, Dar na kuwaamuru waandishi wa habari kuondoka kwenye mkutano wa CHADEMA, limeibua...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

    Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za...
  5. McLaren

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

    Wakuu, Kumbe hata huko kwenye Jeshi La Polisi kuna watu bado wana uungwana? Huyu hata akifukuzwa kazi huko Polisi wananchi simameni mumchangie. Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora Kafanya jambo la kitume sana https://www.youtube.com/watch?v=-n8I1q4rGHI
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla: CCM isihushishwe na vurugu zilizotokea Tabora kwenye mkutano wa CHADEMA

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
  7. Parabolic

    Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    Vijana wanaodaiwa kutaka kuvuruga mkutano wa Chadema uliofanyika mjini Singida leo juni 9, 2025 wamedhibitiwa kabla ya kutekeleza walichokusudia.
  8. Heparin

    PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wafurika kufuatilia mkutano wa CHADEMA Arusha

    Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025. Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara kunadi...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Polisi Kahama wadaiwa kazuia maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA, wadai eneo limebadilishwa

    Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
  11. Genius Man

    Jeshi la polisi limezuia mkutano wa CHADEMA kariakoo likidai litavuruga biashara bila kuwa na malalamiko yoyote ya wafanye biashara wa eneo hilo

    Kitendo cha jeshi la polisi kuzuia CHADEMA kufanya mkutano kariakoo haukuwa wa haki na unatia wasi wasi dhidi ya mwenendo wa jeshi hilo katika kutekeleza wajibu wake. Jeshi limezui mkutano likidai litavuruga biashara bila kueleza ni vipi itavuruga biashara wala bila kuwepo kwa malalamiko yoyote...
  12. Mindyou

    PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

    Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X "Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha...
  13. BigTall

    PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

    Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon. ongezea hii kwenye stori yako JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
  14. A

    PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  15. Ngongo

    Tetesi: CHADEMA chini ya Uongozi wa Lissu washindwa kuchangisha 180 million kwaajili ya uzinduzi wa mikutano nchi nzima

    Heshima wanajamvi. Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika. Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Mkutano wa CHADEMA Mikocheni umezuiliwa ila chawa wamekata keki feri karibu kabisa na Ikulu, hii tunaiitaje?

    Wakuu, Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha. Mkutano ambao ungekuwa na waandishi wa habari tu kurusha tukio hilo, tena mbali kabisa na Posta ambako...
  17. Abraham Lincolnn

    PreGE2025 Kwanini TBC hawarushi Live Mkutano Mkuu wa CHADEMA? Je, hiki ni chombo cha CCM au Watanzania wote?

    Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho. Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Mimi nikiwa kama Mtanzania ambaye...
  18. Erythrocyte

    Singida: Tundu Lissu aongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongea na Waandishi wa Habari huko Singida, Mkutano uliopangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki. Inatarajiwa Mtikisiko Mkubwa sana kutokea Nchini Tanzania. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani Hii hapa
  19. Cute Wife

    Kwahiyo wamezuia mkutano wa CCM ili kuhalalisha zuio lao kwa CHADEMA. Mnaweza kufanya zaidi ya hivi, hii ni aibu

    Wakuu, Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes: CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi...
  20. Suley2019

    Mbowe: Kenya Wananchi ndio waliochukua Hatua siyo Vyama vya Siasa, kutupiga siyo suluhisho

    “Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi uliotengenezwa na Serikali, Vyombo vya vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi, CHADEMA...
Back
Top Bottom