mkutano wa 19

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 23, leo Mei 13, 2025

    https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
  2. Roving Journalist

    Waziri awasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka 2025/26

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
  3. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  4. Roving Journalist

    Waziri Aweso: Kati ya Vijiji 12,318 ni Vijiji 1,500 tu ambavyo havijafikiwa na huduma ya maji

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso leo Alhamisi tarehe 8 Mei 2025, atawasilisha Bajeti ya Mageuzi Sekta ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 Bungeni jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/u309s_YjOQc?si=PnE9QNFGBwbC6PIJ Mafanikio ya Sekta ya Maji yamechochewa na Uongozi wa Rais Samia na...
  5. Roving Journalist

    Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66 Bilioni kwa mwaka 2025/2026

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 19 Mei 7, 2025 Orodha ya shughuli za leo; Hati za kuwasilisha mezani Maswali Hoja za serikali https://www.youtube.com/live/Z7LMt6ndXVk?si=u8pvAkprKa6Kt03l Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka...
  6. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025 https://www.youtube.com/live/jisddABy9Sw?si=ZPv7ivAftZBx_pFm
  7. Roving Journalist

    Wizara ya Ujenzi yaomba kuidhinishiwa TSh. Trilioni 2.28 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo leo atawasilisha Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. Waziri Ulega amefuatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi...
  8. Just Pray

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
  9. Just Pray

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa Fedha 2025/2026...
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 13 Aprili 28, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 13 Aprili 28, 2025 https://www.youtube.com/live/_jDiHe_-CrU?si=bjV2q_LSc86UOyIn
  11. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 12, Aprili 25, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=LEZweMHSLdU&pp=0gcJCYQJAYcqIYzv
  12. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Kumi, Aprili 23, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
  13. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tisa, Aprili 22, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
  14. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
  15. Roving Journalist

    TAMISEMI yawasilisha Bungeni makadirio ya bajeti yake ya mwaka 2025/26 Aprili 16, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 16, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kuanza kujadiliwa. Shughuli nyingine ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba...
  16. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Sita, Aprili 15, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 15, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 utahitimishwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali...
  17. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tano, Aprili 14, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 14, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa...
  18. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Nne, leo Aprili 11, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa...
  19. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 3 Aprili, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali. Wizara zitakazoulizwa maswali kwa siku ya leo ni pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
Back
Top Bottom