mkutano wa 19

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 54 Juni 26, 2025

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mkutano huo umejadili mambo mbalimbali ikiwemo Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa...
  2. Roving Journalist

    BUNGE LA 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 47, Juni 17, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Ta0IRczlVrg
  3. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa...
  4. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025 ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I. Dua II. Hati za kuwasilisha mezani III. Maswali IV. Hoja za Kamati https://www.youtube.com/watch?v=Q31sbspK74k
  5. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  6. Roving Journalist

    Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
  7. Roving Journalist

    Bunge la 12, Dkt. Mwigulu: Uchumi wakua kwa asilimia 5.5, mfumuko wa Bei wasalia thabiti – Wizara ya Fedha yaomba TSh Trilioni 20.1

    https://www.youtube.com/watch?v=UTsVTMLcS5Q Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai 2024 hadi...
  8. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 38, Juni 03, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa kupitisha bajeti hiyo wajumbe wametoa ushauri mbalimbali ikiwemo Serikali kuangalia namna ya...
  9. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 37, Juni 02, 2025

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo Juni 2, 2025. https://www.youtube.com/watch?v=PDXVMgTMq5M Wizara ya Afya imeliomba Bunge kuidhinishia TSh trilioni 1.6 kwa ajili ya...
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025 https://www.youtube.com/watch?v=8Orl0SHsmP8 Orodha ya Shughuli za Leo Dua Hati za kuwasilisha mezani Maswali
  11. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  12. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mei 27, 2025: Dkt. Gwajima anawasilisha Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jijini Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=wWgJjQl26cg Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Dorothy Gwajima anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  13. Roving Journalist

    Bunge la Mei 26, 2025: Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba zaidi ya Trilioni 2/- kwa Bajeti ya Mwaka 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=cRKUyHuLjzA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei...
  14. Roving Journalist

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba TSh 476.6 bilioni Bungeni, kamati yalilia fedha za maendeleo

    https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei 23, 2025. Dk Ashatu ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh476.6 bilioni yenye vipaumbele vinne ambapo...
  15. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 30, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=XOU1mTLJLdw
  16. Roving Journalist

    Wizara ya Kilimo yaomba kuidhinishiwa Bajeti ya TSh Tril. 1.24 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=sOC6TgEjbr8 Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha Bajeti ya mwaka 2025/26 amesema; "Ukuaji wa Sekta ya Kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa Sekta ya Kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka...
  17. Roving Journalist

    Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  18. Roving Journalist

    Wizara ya Maliasili na Utalii yaomba Bunge kuidhinishia Shilingi Bilioni 359.9 kwa mpango wa 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025-2026. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana Wakati akiwasilisha hotuba kuhusu...
  19. Roving Journalist

    Wizara ya Mawasiliano yaomba kuidhinishiwa Shilingi Bilioni 291.5 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=eGdtJa7p75I "Sekta ya Mawasiliano na TEHAMA imekua kwa...
  20. Roving Journalist

    Waziri Jafo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Viwanda na Biashara 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025. Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
Back
Top Bottom