mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ukomavu mkubwa katika akili za vijana na Watanzania kwa ujumla wake!

    Facts is:- Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki, ------ Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo, ------ Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
  2. JamiiForums Tanzania Kuna unyakuaji mkubwa sana wa Aridhi unakuja ambao haujawahi shuhudiwa tangu vizazi na vizazi. Viji

    Mwaka jana nilisema baada ya Uchaguzi kuisha kutajuwa na zoezi kubwa sana la kunyakua Aridhi na kukabidhi Wazungu na Waarabu. Sana Waarabu. Wilaya kama Longido inaweza poteza robo hadi nusu ya Aridhi yake kwa Waarabu, Hawa wanataka wainganishe na Loliondo. Simanjiro inapunguzwa sana na kupewa...
  3. JamiiForums Tanzania Aisee hivi majuzi bi mkubwa aliniokoa sana. Mama ni mama

  4. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  5. F

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  7. JamiiForums Tanzania WATU WENYE UCHU MKUBWA WA NGONO MNAPAMBANA VIPI NA HALI HIYO

    Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako. Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono (sex toys).
  8. JamiiForums Tanzania Amani ndio msingi mkuu wa Taifa,tuilinde amani kwa wivu mkubwa

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje ya nchi (MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE) na badala yake kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo na ujenzi wa taifa. Akizungumza Jumapili...
  9. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Usagara, kata ya Idetemya, Nyalwigo mkoani Mwanza tunaambiwa tusubiri 'MKUBWA' mmoja aingilie kati ndo tupate umeme

    Mwanza, Usagara, kata ya Idetemya, Nyalwigo hatuna umeme. Kuna kaya zaidi ya elfu moja na kila tukiulizia umeme unafika lini, tunaambiwa hapo mpaka mkubwa mmoja ajitokeze na kudai hivi hivi ni ngumu. Tunaomba mamlaka husika kuchukua hatua za makusudi tufikishia huduma hii jamii ya muhimu. 2026...
  11. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa

    Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu. Vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya Halmashauri ya wilaya ya Sikonge

    Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge. 1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
  14. JamiiForums Tanzania Natabiri

    Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉 Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kesho nimepata mwaliko wa ki VVIP kuhusu uwekezaji Tanzania

    Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji. Kesho itakua siku yangu ya kuanzia safari mpya ya kiuwekezaji baada ya kupata mwaliko kutoka kwa watu wawili...
  16. JamiiForums Tanzania Kila heri Misri nawatakia ushindi mkubwa

    Muda mfupi ujao Misri itacheza na Ubelgij. Japo Ubelgij ndio favourite lakini kwa upande wangu niko pamoja na Misri the Pharaoh na hakika watashinda nakutupaisha wa Africa jins Morocco ilivyotupaisha dhidi ya Brazil. Kila la kheri Al-Masr. adriz de mbusii
  17. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uhaba mkubwa wa Walimu wa somo la Literature katika Shule za Serikali

    Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita. Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
  19. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…