mkono wa chuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Baada ya kujiridhisha kwamba kumbe inawezekana nchi ikatawalika kwa mkono wa chuma basi sasa watanganyika jiandaeni kwa mazito zaidi

    Na ninapo sema jiandaeni namaanisha mjiandae kwa mengi yaani, mateso,dhihaka kejeli na mengine mengi na hamta kuwa na la kufanya kwa sababu hayupo aliye upande wenu kwa sasa na hayupo wakuwasaidia kwa sasa.
  2. Fbn

    “Mauaji ya Kikatili Kabla ya Kuanguka kwa Utawala wa Iddi Amin: Hofu, Mashaka na Utawala wa Mkono wa Chuma”

    Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku kuwa ni wapinzani wake. Iddi Amin alitawala kwa mkono wa chuma na alihofia sana mapinduzi dhidi...
  3. Braza Kede

    Mjue Nayb Bukele aka "Mkono wa Chuma" Rais wa El Salvador

    Ana umri wa miaka 41. Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America. Ni raisi machachari kwelikweli. Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya kiharifu. Ilikuwa ni ngumu kupita kipande chochote kwa salama pasipo kuchezewa rafu na wajomba...
  4. Kipenzi Changu

    Yeye mwenyewe alijitetea kwa mkono wa chuma, Wewe unaweza kumtetea kwa mdomo?

    Ni ngumu sana kumtetea Magufuli kwa mdomo mtupu. Mambo yaliyoendelea katika utawala wake dhidi ya haki ya kutoa maoni, dhidi ya haki ya kuishi na kufikia hatua ya kudhuru wengine, ni dhahiri ilikuwa katika harakati za kujitetea. Magufuli mwenyewe alijitahidi kujitetea kwa mdomo akashindwa...
  5. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji mzuri nikiwa juu ya farasi lakini nikawa mnyonge nikiwa bila farasi. Au naweza kuwa mpiganaji mzuri...
Back
Top Bottom