mkenda

Adolf Faustine Mkenda (born in 1963 Rombo, Kilimanjaro), is a Tanzanian Minister of Agriculture. An associate professor of Economics at the University of Dar es Salaam and a politician who presently serve as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Rombo constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Profesa Mkenda: Shule binafsi zinazozuia wanafunzi kwenda likizo waache, rungu lipo na sisi hatutaki sana kulitumia

    Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
  2. M

    Responded Prof. Mkenda: Ni marufuku kumrudisha mtoto nyumbani kisa mchango

    Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
  3. Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  4. CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  5. Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  6. S

    Waziri Adolf Mkenda must go! Kwa ajili ya HSLB!

    Waziri Mkenda ameshindwa kusimamia kwenye wizara yake bodi ya mikopo HSLB imekuwa bodi ya wizi wa mishahara ya watumishi tu na wanaoibiwa siyo watoto wa vigogo ni watoto wa wakulima! Inakuwaje mtumishi anakuta makato ya bodi ya mikopo kwenye mshahara wake wakati mtumishi huyo hajawahi kusoma...
  7. Y

    Prof Adolf Mkenda: Sekta binafsi inaalikwa kwenye Ujenzi wa Hosteli popote ila iwe tu karibu na chuo chenye upungufu wa Hosteli kwa sharti ya Ubia

    === Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba kwaajili ya mabweni | Hosteli maeneo jirani na vilipo vyuo ambavyo vinaupungufu wa Hosteli kwaaji ya...
  8. W

    PreGE2025 Waziri Mkenda akabidhi shilingi Milioni 5 kwa kikundi cha ujasiriamali Rombo

    Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025 amekikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 5 ikiwa kama sehemu ya ahadi yake yakukisaidia kikundi hicho...
  9. Moto waiteketeza nyumba ya bibi Maria Kaudidi Rombo, Mbunge Mkenda aisaidia familia

    Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika. Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
  10. Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

    Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
  11. K

    Kuhusu ajira za Walimu,Hili prof Mkenda Kalitazama!

    Habarini wanaJamiiForums, Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa sana. Yaani Mwalimu aliyemaliza chuo mwaka 2019, Unapoenda kumpambanisha interview na aliyemaliza...
  12. KERO Prof. Mkenda suala la chakula Shuleni, limekuwa mateso na mzigo kwa Wazazi / Walezi, bora kipangwe kiasi fulani cha fedha kwa wote

    Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu. Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
  13. Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  14. L

    Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
  15. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nduweni wamshukuru Mbunge Prof. Mkenda kwa zawadi za fedha kwa waliofanya vizuri

    Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024 Akizungumza kwa niaba ya...
  16. Responded Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  17. Prof. Adolf Mkenda: Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Walimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Oktoba 05, 2024 katika Siku ya Walimu Duniani ametoa salam za heri ya Siku ya Walimu Duniani akiwa Mkoani Njombe. Katika Salam zake alizotoa akiwa pamoja na baadhi ya Walimu wa Mkoa wa wa Njombe Prof. Mkenda amesema Serikali inatambua...
  18. Njombe: Prof. Mkenda azindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe. Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  19. Prof. Mkenda azindua Kituo cha Afya Makoga (Wanging'ombe) kilichojengwa kwa zaidi ya Tsh. 500

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili. Prof. Mkenda amezindua Kituo cha Afya Makoga katika Jimbo la Wanging'ombe kilichojengwa na Serikali kwa...
  20. Prof Mkumbo anafaa Wizara ya Elimu, Mkenda peleka Uwekezaji

    Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…