mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar: Mke na mume wafikishwa Mahakamani kwa kumjeruhi jirani yao

    KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne...
  2. X

    Mke wa mtu sumu, cheki kideo

    Jamaa kafumaniwa Hotelini, kaona mambo yasiwe mengi kaamua kujirusha kutoka ghorofani
  3. Utaratibu wa kutafutiwa Mke urudi kwenye jamii?

    Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa. Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa zilidumu kwasababu kulikuwa na uchunguzi wa tabia kabla ya ndoa. Swali : Swala la kijana kutafutiwa...
  4. Najua mke wake alipo, je? nimuonyeshe?

    Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu, Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi, Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho...
  5. Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini, wanaojitambua, wanaojiheshimu, wanaojali, walio na upendo wa dhati!, si mwingine bali ni Mkurya...
  6. Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  7. Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  8. Tabia ya mke kusambaza habari kutoka ndani kwake, je ni sahihi?

    Habari za siku wapendwa. Kwenye maisha watu tunatofautiana sasa wapo watu wengine wana ile tabia ya kusambaza jambo mpaka kwa watu ambao hawahusiki kabisa je.? Ni njia gani itumike kuishi nao au kuwathibiti yani iko hivi tuseme unaishi na mke wako au mume wako lakini ikitokea mmepishana kauli...
  9. Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa...
  10. Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

    Habari zenu, Leo wakati tupo tunagonga moja mbili kuna jamaa akasema kamnunulia Mkewe Sex Toys ili awe anajiridhisha mwenyewe akiwa amesafiri kikazi. Jamaa ni Mfanyabiashara na huwa anasafiri mara kwa mara muda mwengine hata Mwezi hayupo kwake. Hili suala limenifanya nijiulize maswali ambayo...
  11. Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
  12. Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

    Tumaini Luvanda (35) mkazi wa Dombwela wilaya ya Makete mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36)...
  13. C

    Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

    Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
  14. L

    Nahisi mke mwenzangu anachepuka

    Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama...
  15. C

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  16. Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

    Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
  17. Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  18. Z

    Natafuta mke. Nipo mwanza

    Nna miaka 33 natafuta mke awe miaka 24 mpaka 28. Angalau awe na elimu ya form fourna kuendelea. Dini mkristo. 0759123551
  19. K

    Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
  20. N

    Mke - Waziri Mkuu anahitajika kuisimamia serikali vema

    Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia kuanzisha pamoja. Naomba ifahamike kuwa nchi yeyote Ile duniaini ili ifanikiwe inahitaji serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…