mke wa lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    SI KWELI Hilda Newton avunja ndoa ya Lissu

    Wakuu nimekutana na hii Post huko FB ina u uhalisia kiasi gani?
  2. Just Pray

    Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
  3. Huihui2

    Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

    Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake. Je, hii inaashiria nini? -Wako busy na mambo yao? - Wanaogopa kashkash za Polisi -Au wameamua mwana kalifaindi mwana...
Back
Top Bottom