mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyumba (Boma) inauzwa Ituha-Mbeya Mjini kwa Shilingi 10.5 Milioni

    -Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule, -Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1 kutoka Ituha mwisho wa lami. -Saizi ya kiwanja ni 20m kwa 20m, nyumba iko ituha-mbeya, karibu kabisa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko kuu Mwanza

    Wananchi wa Jiji la mwanza walifurahi sana walipoona Soko la zamani likivunjwa kupisha ujenzi wa soko mpya. Soko lilipovunjwa wafanyabiashara walisambaa maeneo mbalimbali ili wapate nafasi ya kuendelea na biashara zao. Kibaya zaidi maeneo waliopelekwa ni maeneo hatarishi na hakuna huduma za...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote. Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona. Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
  4. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Sengerema mjini

    Natafuta kiwanja Sengerema mjini kiwe katika eneo zuri la kibiashara ofa yangu 10m
  5. JamiiForums Tanzania Swali kwa mliokulia vijijini: Mlivyokuwa mnasikia Dar mlidhani ikoje?

    Nikiwa moshi tunazungumza na baba mkubwa habari za Manzese darajani, kuna dogo akadandia “pale Manzese kuna mamba wengi sana”. Kichwani nikafikiri anamaanisha labda Ruvu au Wami. Kwa watu ambao tumekulia Dar huwa tunaiona ya kawaida sana ila kwa watu waliozaliwa nje kabla hawajaja Dar wanapaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…