Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana.
Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii.
tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto.
Shule ya msingi kanindo...
Anonymous
Thread
kishiri
magumu
mazingira
mazingira magumu
miundombinumiundombinumibovu
msingi
mwanza
nyamagana
shule
shule ya msingi
wanafunzi
Wakuu najiuliza kwanini mamlaka haziweki miundombinu vizuri Karikoo yote, baadhi ya mitaa miundombinu imechakaa kana kwamba pale si kitu cha Biashara nchini na nchi jirani.
Barabara nyingi mbovu kupindukia, wakati wa mvua hapatamaniki zinajaa madimbwi, matope mpaka kero.
Miundombinu ya maji...
Wakuu,
Hivi CCM wanaposema wanaleta maendeleo huwa wanamaanisha maendeleo gani?
Hapa reportedly ni Kilolo huko mkoani Iringa, hawa ni wananchi wa eneo la Kiwalamo, Kilolo huko Iringa wakiwa wamembeba mgonjwa kwenda Kidabaga kwa miguu umbali wa kilomita 40 ili akatibiwe, kutokana na...
Ukipitia barabara ya Arusha-Kiteto(Manyara) kupitia Orkesumet(Simanjiro) ni mbaya sana, basi linajaa kuanzia Arusha ni kukanyagana ni afadhali miaka kabla ya uhuru.
Upande wa pili barabara zinapita juu ya maji njia 4 Km 3.2 ndani ya nchi ile ile. Niliumia sana na kuwashangaa wamasai.
Bado kuna...
Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori.
Ukitokea Lindi ni km 70, kuna mteremko sio mkali sana ila una kona kidogo, chini ya mteremko huo ndio kuna daraja ambalo...
Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani. Hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami. Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni hilo.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua za El-Nino.
Akizungumza na Shirika la...
Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia.
Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza muda na mafuta katika foleni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.