1. Barabara Kuu: Arusha - Simanjiro - Kiteto - Kongwa
Hii ni moja ya barabara ndefu zaidi nchini iliyobaki katika kiwango cha changarawe inayounganisha mikoa mitatu. Barabara hii, iliyo chini ya TANROADS, inapita Simanjiro kuelekea wilayani Kiteto. Kwa sasa, mvua zinazoendelea kunyesha zimeleta...
Salaam Wakuu, Mbunge wa Mbezi Beach nimekuja tena mbele yenu na kero ya wananchi wangu🌚🌚
Kama mnavyoona kwenye video hapo hapo kuna gari imekwama imekwama asubuhi hii, hayo maji yametuama hapo sababu ya mtaro mbele ya shule ya shule hapo kuziba, kutokana na njia hiyo kuendelea kutumika magafi...
Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza kutokea na kupelekea hatari kwa maisha ya wananchi.
Inasikitisha kuona Serikali na Mamlaka husika ziko...
Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi kuwafikia wote.
Kwa ujumla mji wa Kahama umechangamka Sana kibiashara kila angle zote za mji, Kati...
Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date naye kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake
Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea
JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni kuhusu changamoto ya barabara, kwa kweli ni mbovu sana hasa maeneo ya Kwa Fundi Baiskeli.
Tangu...
Anonymous
Thread
barabara dar es salaam
miundombinubarabara
ubovu wa barabara
Wakazi wa maeneo ya Bulumawe mtaa wa wa Dovya kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni tulikuwa tunapata shida sana hususani kipindi cha mvua kutoka na ubovu wa barabara.
Lakini sasa kipande cha barabara kutoka Bulumawe hadi Boko magengeni kimechatengenezwa kwa kiwango cha lami naweza sema lami ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.