miujiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua. ========= Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini teknolojia mithili ya miujiza iitwayo ‘Neuralink’ haizungumziwi kabisa?

    Teknolojia hii inayohusisha kupandikiza kifaa kidogo mfano wa shillingi ndani ya fuvu ambapo viwaya vyembamba mara laki ya unene wa nywele, huchomekwa nankuungwa na neurons za ubongo, itawezesha binadamu kuzunguza kuwasiliana bila kufungua mdomo (sauti) wala kuandika (herufi). Teknolojia hii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

    Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe. Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
  4. JamiiForums Tanzania Code za Uchawi na Miujiza; Fahamu haya machache

    CODE ZA UCHAWI NA MIUJIZA, FAHAMU HAYA MACHACHE. Na, Robert Heriel. uchawi ni nguvu za Giza zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu. Miujiza ni nguvu za Nuru zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu. Ili Jambo liitwe uchawi au muujiza lazima liende kinyume na akili ya mwanadamu, liende...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

    Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa. Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati? Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
  6. JamiiForums Tanzania Msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu Romania

    Nchini Romania, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo, jirani na mpaka wa nchi ya German ndiko hupatikana msitu wa wauzauza wa Hoia-Baciu. Tukiachana na msitu wa mauzauza wa Njombe tuliouzoea, msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu ni noma, hauna kuku wa maajabu, ila una maajabu ya kutisha. Katikati ya...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kama ni miujiza, Tanzania ya viwanda inawezekana; kama ni mpango mkakati, tumeshindwa kabla ya kuanza

    Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza. Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana. Sababu ni zifuatazo: 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…