mitiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jaytravo

    Plot4Rent Shamba la mitiki linauzwa Tanga Korogwe

    Shamba la mitiki LINAUZWA Mteja ambae uko serious Piga simu tuzungumze 0615636384 Miti iko 1700 Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza Karibu umalizie palipo Baki.
  2. jaytravo

    Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
  3. jaytravo

    Shamba lenye miti ya mitiki linauzwa ekari 6 tanga Korogwe

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
  4. jaytravo

    Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

    Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700 lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
  5. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Habari, Shamba la miti (mitiki) LINAUZWA, heka 14 na nusu Miti: 4000 na zaidi yenye umri wa miaka 14 Bei: 500m miti elfu 4000 na kuendelea Mahali: Tanga, Muheza kijiji cha kiwanda Document: zina process manispa
  6. Kuteseka Maganga

    Kilimo cha mitiki

    Nimelima miti aina hii ni mwaka wa 4 sasa tupeane changamoto
  7. bachelor sugu

    Kipi bora kati ya miembe ya kisasa na mitiki?

    Habari za usiku ndugu katika Jukwaa hili. Nimekuwa njia panda nikijaribu kufikiria kipi ni bora kukifanya kati ya hivyo viwili katika heading hapo. Hebu tujaribu kupanuana mawazo katika hivi vitu viwili, ni kipi bora kukifanya kwanza kati ya kupanda miti ya miembe ya kisasa au kupanda miti ya...
Back
Top Bottom