mitandao kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    GE2025 Kampeni zimeisha, muda wowote kuanzia sasa mitandao itaanza kusumbua na kufungwa kabisa

    Kampeni zimeshafika ukingoni. Mzlkampaka kufika jumatatu jioni mitandao itasumbua sana na hatimaye kufungwa kabisa mpaka uchaguzi upite ili kutowapa mwanya wanaotaka kuandamana wasijue wapi kwa kuanzia.
  2. Parabolic

    GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. Waufukweni

    Serikali yafungia mitandao na tovuti 80,171 zisizo na "maadili"

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha afya ya akili ya watoto. Kauli hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu Mei 5, 2025 na...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Katibu Mkuu CCM Mtwara Mjini: Vijana tumieni mitandao vizuri kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Akizungumza kwenye hafla fupi ya kusherehekea miaka 48 ya chama hicho iliyoambatana na kufanya...
  5. Los santos

    KERO Kufungia line za simu/ kublock sms yenye namba ya simu ndani yake au sms yenye kiwango cha fedha ndani yake

    Aisee nakereka sana na upuuzi wao wa kufungia line yani miezi mitatu tu unakuta line yako kapewa mtu mwingine Yani kwenye dunia hii ya leo yenye maendeleo kadha wa kadha ambapo mtu anaweza kwenda kenya, Uganda, sudan,America, Europe au hata south africa akakaa miezi kadhaa kama 5 anarudi...
  6. Patriot missile

    Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

    Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini. Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya...
Back
Top Bottom