mishangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwatapeli kimapenzi 'mishangazi' mtandaoni

    Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani. Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
  2. Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?🤣😆😀 awa waweza kuwa pandikizi kweli.

    Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera, Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio. Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady? Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
  3. B

    Napenda ku-date na wadada wa elf 2003 kuliko mishangazi

    Habarini, Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa. Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4...
  4. Dada Zetu/Mashemeji: Mnaachika kwasababu ya Wana/Washkaji wa Mabwana zenu

    Mabinti, Madada na Mishangazi... Sikilizeni Kidogo Siku hizi mtu akikutambulisha kwa washikaji wake, usijidanganye kwamba kila mmoja atakushangilia. Hasa ukikosa kisura cha kuvutia, macho yao ni kama CCTV — wanakuchunguza juu hadi chini, kisha maneno yao nyuma ya pazia ni ya kashfa tupu. Juzi...
  5. Tofauti kati ya mishangazi na vitoto vya 2000s

    MISHANGAZI (1). Si watu wa kupenda mawasiliano ya mara kwa mara kwa wapenzi wao. Wanahitaji mawasiliano yenye umuhimu. (2). Wakihitaji hela wanajua matumizi sahihi ya hela anayokuomba. (Mfano: Kama anahitaji bidhaa ya Tshs elfu hamsini atakuomba elfu hamsini, na atakwambia kwa ajili gani. Pia...
  6. Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

    Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho... Hutaki kazi ngumu na kazi huna.... Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki.. Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood.. Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
  7. Mkuu wa Wilaya ya Mbozi: Mashangazi” acheni kutumia vipato vyenu kuwarubuni vijana kwa lengo la kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama “mashangazi” kuacha kutumia vipato vyao zikiwemo fedha za mikopo, kuwarubuni vijana wenye umri mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…