Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo.
Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
Wakuu,
Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa
Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya miundombinu ni mibovu, ajira hakuna tozo na kodi kubwa kila siku tunagombana na kina mangi madukani...
Bakwata wakati wanatuizia Uoga, kule Kenya Waslama wamesema endapo mpango wa kuwaongezea mishahara Wabunge utatekelezwa basi wataingia Barabarani. kwa kifupi wamechoka kuona raia wakiwa masikini ilihali Watawala hasa wabunge wakiendelea kuneemeka.
Sasa kutana na BAKWATA ambao wao wanatuuzia...
Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa...
Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Wazalendo wa Nchi hii Akina Job Ndugai waliwah kuuliza kwanini Tusijitegemee?
Sasa Nchi hii Ina Kila kitu, hizo PhD za Uchumi, msizihamishie kulinda Matumbo yenu tu huku mzigo wote mkiuleta Kwa Wananchi.
Mkatae ukweli, mrukeruke sana, mfumbe macho, ukweli ni kuà Hamna Nchi zaidi ya ( US)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.