miradi ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali. Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro...
  2. M

    Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  3. McLaren

    Wananchi wagoma Mita kuwekwa kwenye mradi wa maji waliopata kwa wahisani na sio kwa Serikali

    Wakazi wa mtaa wa Maji ya Shamba wilayani Kondoa wameilalamikia KONDUWASA kwa kufunga mita kwenye mradi wa maji walioupata kwa msaada wa wahisani, wakisema mradi huo si wa serikali. Wameitaka mita ziondolewe ili waendelee kupata huduma kwa gharama nafuu. Mwenyekiti wa mtaa, Emmanuel Jonas...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
  5. Mindyou

    Kipindi cha Magufuli 2015-2020 miradi ya Serikali ya Kichina imetengeneza ajira 50,241 nchini

    Wakuu, Wakati watu tunalalamikia miradi ya Wachina kuwa mingi nchini, kumbe huo ni mkakati wa Wizara ya Mambo ya Nje? Leo nilikuwa napitia ile sera ya Mambo ya nje ya mwaka 2001, toleo la mwaka 2024 ambalo Rais Samia aliizindua hivi karibuni. Kwenye sera hiyo, kipengele 1.2.2 page ya 6...
  6. ChoiceVariable

    Licha ya Serikali kupitisha Sheria ya Wakandarasi wa ndani kupewa tenda za miradi isiyozidi Bilioni 50 lakini bado Wachina wanapewa kazi

    Pamoja na Serikali Kupitisha Sheria ya local content ambapo kiwango Cha tenda za ujenzi kilichotengwa Kwa Ajili ya Wakandarasi wa Ndani/wazawa kuwa Bilioni 50 Lakini Bado Serikali na taasisi zake inapuuza maamuzi yake yenyewe. Kwa utaratibu huu unategemea Ajira na kuwezesha wazawa...
  7. DELETED ACCOUNT

    Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  8. G

    Miradi ya serikali ipewe majina ya utaifa iache kupewa majina ya viongozi, Kodi za wananchi na mikopo inayolipwa na wananchi hujenga miradi

    Kuanzia kipiindi cha awamu ya tano kumekuwa na trend kubwa mno ya kuipa miradi majina ya viongozi, Hii inakoelekea ni kubaya sana. Miradi inajengwa kwa kodi wanazolipia wananchi na madeni wanayolipia wananchi, Sioni sababu ya kuita miradi majina ya viongozi unless wao wawe wametoa hela mifukoni...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Balozi Nchimbi: Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni moja ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Magufuli

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kazi kubwa anayoifanya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Balozi Nchimbi amezitaja mojawapo ya...
  10. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi: Bilioni 6.106 zimepelekwa Old Moshi Mashariki

    Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6,106,516,794.00 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kata ya Old Moshi Mashariki katika Jimbo la Moshi vijijini. Hayo aliyasema Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
  11. britanicca

    Je, hakuna upigaji kwenye miradi ya Serikali inayofanyika nje ya nchi kama Ujenzi wa majengo ya balozi zetu?

    Mwaka fulan ilimlazimu mheshimiwa mkubwa Kwenda kutoa ushahidi mahakamani kutokana na ujenzi wa nyumba ya ubalozi Ulaya , gharama zikawa mara Tatu ya uhalisia! Nikajiuliza swali, Kwanini sasa hapo Kenya tunapopanga kujenga jumba la ubalozi kuna mpango wa kutumia Pesa nyingi sana ! Je kwanini...
  12. K

    Mbona miradi ya serikali kama vile wakandarasi wamekimbia kazi?

    Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali...
Back
Top Bottom