mikopo ya mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nitapata wapi mikopo ya mitandaoni

    Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu! Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema nitapata wapi mikopo ya mitandaoni maana huko kote nimechukua app zao zote na kujisajiri lakini kote...
  2. A

    DOKEZO Mikopo ya Mitandaoni (kausha damu) bado ipo!!

    Habarini wadau, Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!! Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu...
  3. V

    DOKEZO BoT na Serikali imeshindwa kudhibiti mikopo ya mitandaoni!? Au kwasababu zinamilikiwa na wachina

    Je, Tumeshauzwa? Zaidi ya asilimia 90 ya apps za mikopo hapa Tanzania zinamilikiwa na makampuni ya Kichina — lakini udhibiti uko wapi? Riba ni kubwa kupita kiasi, na wakopaji wanaposhindwa kulipa, apps hizi hutumia vitisho, matusi na kashfa kuwabana watu. Kama hizi apps zingekuwa za...
  4. Escrowseal1

    Inasadikika baadhi ya makampuni za kukopesha mtandani ni za wachina

    Salaam alleikhum ndg zanguni. Juzi kati kuna ndugu yangu alinitafuta akiwa kachafukwa mithiri ya kujitoa uhai. Issue si nyingine ila ni alikuwa amebanwa na taasisi zilizoibuka nchini zikikopesha pesa . Nikagundua kuwa unakopeshwa bila hata kuonana nao. Hakuna unaposign mkataba ila pesa...
  5. T

    Mikopo ya mtandaoni: Soma chat za mdaiwa na mdai madeni

  6. NALIA NGWENA

    Special thread: Wazee wa kukopa kwenye Mitandao tukutane hapa tubadilishane mawazo na kupeana connections za site mpya za kukopa

    Kichwa Cha habari kinajieleza, Huu ni Uzi maalumu nimeufungua mahususi kwa wazee Wa mikopo mitandaoni na kupeana updates za applications mpya zinazotoa mikopo kwa haraka zaidi unapokua na dharura. Binafsi, TALA, BRANCH japo Sahivi hawatoi hela NMB simbanking Huwa nachukua mpaka Milioni moja...
  7. Waufukweni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  8. Mindyou

    BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  9. Crocodiletooth

    Application za kukopesha za simu, kuhack majina ya simu za mteja bila ruhusa tofauti zile ambazo umewapa kama wadhamini

    Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi. -My question is that, wakati unapoazima fedha kwenye kampuni hizi, hukuomba namba yako ya simu, na namba mbili, za watu ambao huwa kama wadhamini...
  10. Mindyou

    Mikopo ya mitandaoni yazidi kuzua balaa. Wakopaji wasimulia visa na changamoto walizozipitia baada ya kukopa!

    Katika uchunguzi mpya, imefahamika kwamba kumekuwa na udhalilishaji na madhila makubwa yanayowakumba watu wanaowadaiwa na wakopeshaji wa mitandaoni Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo, Jackline Meena, anasema alikopa Sh. 50,000 lakini alilipa Sh. 250,000 na waliendelea kumdai na alipogoma kulipa...
  11. mambio

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Sitaki salamu na mtu! Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa. Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500 Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Nilisema BOT hawana uwezo wa kupambana na ma sharks wa mikopo ya mitandaoni. Riba bado ziko juu, usumbufu upo vilevile

    Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi, kutokusumbua ndugu na jamaa wa mkopaji, kutokusambaza taarifa za mkopaji. Mimi nilisema hakuna hata kimoja...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Mikopo ya mitandaoni ilitaka iniue

    Closed
  14. Samia atosha tukutane2030

    Tafadhali usikope kwenye APP za mtandaoni

    Jamaa ni kama wametumwa kutoka kuzimu kuondoa amani ya watu duniani. Ni kama mashetani, nahisi hata zilipo ofisi zao ni sehemu ya kificho. Wanajua kukera mno. Hawaelewi chochote zaidi ya fedha. Wafanyakazi malipo yao yako kulingana na jinsi wanavyokusanya, hivyo wako tayari kwa lolote ili tu...
  15. Nigrastratatract nerve

    Pesa X: Kampuni ya ukopeshaji mitandaoni inayolimbikizia watu madeni ya kubumba

    Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
Back
Top Bottom