mikopo ya hazina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gai da seboga

    Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  2. Nangose 1

    Mikopo kutoka Hazina

    Wakuu naomba kufahamu namna ya kukopa mkopo Hazina kwa watumishi wa Umma.. Nasikia huko hazina hakunaga Riba. Ahsante.
Back
Top Bottom