mikopo ya asilimia 10

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hamis77

    Tangazo la mikopo ya asilimia 10 manispaa ya halmashauri ya Ubungo

    Kama tangazo linavyojieleza
  2. DodomaTZ

    Prof. Shemdoe azungumza na NMB kuhusu uboreshaji mchakato wa utoaji wa mikopo ya Asilimia 10

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na uwakilishi wa Benki ya NMB na kujadili namna wanavyoweza kufanya maboresho katika mchakato wa kutoa fedha za mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi kupitia taasisi hiyo ya...
  3. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  4. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  5. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  6. Sifi Leo

    Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

    Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili. Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
  7. PAYE

    GE2025 Shaban Mikongoti awaahidi mikopo ya asilimia 10 kwa vijana wa Mwendakulima, Kahama

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Mwendakulima, iliyopo katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaban Mikongoti, amewaahidi vijana wa kata hiyo kunufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kwa makundi ya vijana, wanawake na...
  8. Nipe Maji

    GE2025 Dkt. Tulia anatafuta ushawishi kwa nguvu kupitia mikopo ya asilimia 10

    Wakuu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka vikundi kuwa na Hati Miliki, akisema hazina masharti hayo zaidi ya kuunda vikundi. Dkt.Tulia ameyasema...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Agnesta Kaiza: Mikopo ya Asilimia 10% ni haki yenu

    Mtiania wa ubunge Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameendelea na ziara zake za vikao vya ndani ambapo Agosti 16, 2025, alikutana na wanachama pamoja na wadau katika Kata ya Vingunguti, Mtaa wa Kombo. Akizungumza kwenye kikao...
  10. N

    Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  11. JanguKamaJangu

    Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  12. Just Pray

    Wanufaika mikopo ya asilimia 10 watakiwa kuwa waaminifu kurejesha mikopo hiyo

    Katibu Tawala wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bw. Eliasa Mtarawanje amewasisitiza wanufaika wa mikopo ya 10% kuwa waaminifu kwenye kurejesha mikopo hiyo, Mtarawanje amesema hayo leo Machi 16, 2025 alipokutana na vikundi 42 vilivyonufaika na mikopo ikiwa ni katika kutekeleza maono ya Rais Dkt...
  13. Just Pray

    Wajasiriamali mnaitwa kuchangamkia mikopo ya asilimia 10

    Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
  14. Just Pray

    Mtwara kutenga bilioni 2.9 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10% 2025/2026

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa na halmshauri. Sawala ametoa rai hiyo wakati wa kikao maalum cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC)...
  15. Just Pray

    Vikundi 111 vyanufaika mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya Shilingi milioni 362

    Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 362 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
  16. Just Pray

    Wanaotumia miradi ya watu binafsi kuomba mikopo ya asilimia 10 wabainika na kudhibitiwa Ukerewe, Je, maeneo mengine waliopata mikopo hii wanastahili?

    Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa mikopo kwa watu wasio na sifa stahiki pamoja na uwepo wa udanganyifu. Je, waliopata mikopo hii...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Ilemela Mwanza: Vikundi 60 vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13

    Vikundi 60 vya wanawake vijana na wenye ulemavu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13. Akizungumza kwenye hafla ya utoaji mikopo ya asilimia 10 ya Shilingi bilioni 1.13 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Mkurugenzi...
Back
Top Bottom