Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini.
Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi...