mikopo chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Responded Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu

    Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025. Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote...
  2. The redemeer

    Nchi kuwa na idadi kubwa ya vyuo vikuu vingi ni kuongeza idadi ya masikini nchini

    Serikali ifute mikopo ya elimu ya juu kodi zetu ambazo hazirudi kwa sababu wahitimu hawapati ajira. Badala yake hizo pesa iboreshe elimu ya Veta ichochee ubunifu nchini. Ina maana gani kusomesha watu hadi chuo kikuu then wanakuja kufanya kazi zisizo hitaji vyeti mfano bodaboda ni matumizi...
  3. ChoiceVariable

    Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa. Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
Back
Top Bottom