Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa mwaka wa fedha 2024-2025.
Kati ya fedha hizo Sh. Bilioni 40.71 zimetolewa kwa vikundi 4,557 vya wanawake...