mikoa ya kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nahisi mikoa hii haijafanikiwa kutoa vijana maarufu kitaifa walio chini ya miaka 40

    Umaarufu kitaifa kwenye sanaa, michezo, mitandaoni, n.k. Tuelewane kidogo, wawe ni vijana wasiozidi miaka 40 walioishi na kukulia huko, sio wazazi kutokea huko. 1. Katavi 2. Mara 3. Lindi 4. Singida 5. Simiyu 6. Njombe
  2. ndege JOHN

    Unahisi kwanini kusini mwa Tanzania kumesahaulika?

    Licha ya historia yake kongwe na mchango wake katika uchumi wa nchi ila bado miundominu yake Ina hali dunia?Unaweza kunieleza sababu ni Nini? Kwa mfano hata mradi tu wa LNG Lindi hata tu maofisi Yao kujengwa bado je mradi upo?airport ya Lindi na Mtwara haijatanuliwa labda tu bandari ya uvuvi ya...
  3. ChoiceVariable

    Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

    Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬 1.Kilimanjaro 2.Shinyanga 3.Simiyu 4.Kagera 5.Singida 6.Rukwa 7.Tabora 8.Dodoma 9.Lindi 10.Kigoma My Take Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa...
Back
Top Bottom