mikanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Isenye

    Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

    Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
  2. ndege JOHN

    Wamasai mikanda yenu ya ngozi inadumu Sana mnakosa hela jiongezeni igeni wachina

    Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
  3. Hisham Pokoho

    MOLD ZA MIKANDA YA GYPSUM

    MOLD ZA MIKANDA YA GYPSUM Tangazo: Unatafuta vifaa bora vya kutengenezea mikanda ya Gypsum? Chagua bora, chagua Kirame Group! Tunapatikana kwa huduma zote zinazohusiana na gypsum, pamoja na: Vifaa vya kisasa vya kutengeneza mikanda ya gypsum. Mafunzo ya utengenezaji wa mikanda, maua ya...
  4. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Habari! Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu ipo Kenya tu. Nina uhakika lazima kuna sehemu au kiwanda hapa hapa Tanzania wanaoweza kunitengenea...
Back
Top Bottom