mijadala ya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi tusiopenda mijadala ya Siasa kanisani tunatamani misa ziongozwe na Makatekista kuliko Maaskofu

    Ni Bora ibada ikaongozwa na katekista kwasababu atatupitisha kwenye neno la Mungu kama lilivyo destur ya majukumu yao, kuliko hawa maaskofu wetu ambao wanapiga siasa kwenye madhabahu ya Mungu, naona kama Wana frustration kubwa sana, NB: Huwezi ukashindana na serikali hata ufanyaje
  2. 100 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni muda sasa kuzungumza siasa vijiweni, migahawani, vyombo vya Usafiri, sehemu za biashara na sehemu zote zenye mikusanyiko

    Ni muda muafaka sasa kuanza kuzungumza siasa vijiweni, vijiwe vya kahawa, sehemu za biashara, migahawani, kwenye vyombo vya usafiri na hata kwenye mikusanyiko. Huu upuuzi wa kuogopesha Watanzania kila siku mpaka lini? Huu utaratibu ni mzuri, kama mtu ana hoja ya kupinga uongozi uliopo...
Back
Top Bottom