mihimili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya mihimili ati inajitegemea ni dhana isiyokuwepo na inayoaminiwa na wanaharakati waliokwenye ndoto na si uhalisia

    Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kayiba Mpya ni mwarobaini wa mihimili kuheshimiana bila kijali vyama

    Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ndoto ya Mihimili huru rasmi Imeyeyuka

    Kama taifa yaweza kuwa tuko katika hali mbaya zaidi kufuatia kuachia ngazi kwa spika Ndugai. Ni wazi kuwa Ndugai yamemkuta. Ndugai kapigwa na kitu kizito utosini! Hakuna asiyejua Ndugai alikuwa mtu wa hovyo. Hata hivyo mtu huyu kafurushwa kwa sababu ya kutoa maoni yake. Agenda hii ni yetu ya...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Leo yametimia yaliyosemwa na Hayati Magufuli mhimili mmoja umejichimbia zaidi na ndio unaolipa mishahara mihimili mingine.

    Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi. Leo bila ya kumug'unya maneno tumesikia kwa masikio yetu na macho yetu. Mkuu wa mhimili wa Bunge...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa staha kwa baadhi ya viongozi wa mihimili ya serekali kudhibitiwe haraka.

    Inanisikitisha Sana Kwa baadhi ya viongozi ya baadhi ya mihimili kuropoka ropoka kana kwama hakuna sehemu mahususi ya kujadili pale tunaposhindwa jambo Fulani kulielewa ingali wote sisi ni watu wa chama kimoja CCM, tusipo dhibiti hali hii ya kuongea hovyohovyo ipo siku tutakuja...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Namna ccm inavyotia majaribuni mihimili mingine ya serikali. (Our governing system is tested)

    Imagine kiongozi wa kisiasa (wakati wa magufuli) anaamrisha wizi wa kura hapa ni kuvijaribu vyombo vya ulinzi na usalama vilinde dhuluma. Rejea uchaguzi wa 2020. The states security apparatus were tested . Kesi ya mbowe Kama kweli lengo ni kumfunga kwa gharama yoyote hata iweje Basi mahakama...
  7. Sukari Yenu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

    Nawaza jambo hapa, kuwa kuna mihimili 3 ya Dola. 1. Bunge ambalo kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge 2. Serikali ambayo kiongozi mkuu ni Rais na 3. Mahakama ambayo kiongozi mkuu ni Jaji Mkuu, na kuna dhana kwamba mihimili hii haingiliani. Swali: Kwanini kwenye Bunge na Mahakama kuna picha ya...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais inapokuwa na Vitengo vya Mihimili

    Mwalimu Nyerere alijua kuwa kuna haja ya kuwa na mihimii mitatu ya Jamhuri. Akalijenga Taifa katika mihimili mitatu yaani Serikali, Mahakama na Bunge. Japo muundo wake haukuashiria uhuru wa 100% lakini angalao iliachwa kuwa huru. Utawala wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete, uliendelea kuheshimu uhuru...
Back
Top Bottom