migogoro

  1. B

    Rais wa Finland - Utatuzi wa migogoro unahitaji umahiri sana tukikumbuka maisha ya Balozi Martti Ahtisaari

    RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania Rais wa Jamhuri ya Finland Picha: Matti Porre/Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Finland Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb...
  2. Feedback hasa katika mazungumzo yanayolenga kutatua migogoro

    Habari wadau tupo siku zinakwenda na tunazidi kutatua matatizo mengi ya kiuchumi kijamii kielemu na zaidi. Kuna kitu ningependa tujadili na huenda kikatuongezea silaha zaidi za kupambana na challenge mbali mbali kwenye maisha yetu. Kitu hiki ni feedback yaani mrejesho hasa wa mazungumzo tu...
  3. A

    DOKEZO DDC ni jipu litakaloleta migogoro mikubwa ya Ardhi Kinondoni

    Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya Ardhi wanatakiwa walifuatilie hili jambo kwa umakini sana
  4. Migogoro ya wafanyakazi na waajiri makazini

    Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi. Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa waajiri wa kutokea Asia.
  5. RC Makonda: Migogoro iliyopo inazungumzika tusisubiri tatizo likatokea, tukapiga kelele dunia ikajua, tunajiumiza kwa kutoonekana kuwa na hekima

    Wananchi wa Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokoni 1 mkoani Arusha wamelalamikia ubovu wa kivuko eneo la Darajani. Wameeleza hayo leo Aprili 15, 2025 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda aliyefika kuwasikiliza. Baada ya kusikiliza kero hiyo, Makonda ameahidi kufuatilia suala hilo kwa...
  6. W

    Dkt. Ndumbaro awataka viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo chanzo cha migogoro

    Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya migogoro. Aidha amewataka viongozi ngazi ya mkoa hadi kijiji kutumia njia mbadala kwa ajili ya...
  7. Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  8. Uvumilivu wa Ndoa: Kuachana Haraka au Kutatua Migogoro?

    Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷‍♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
  9. Ungekuwa Rais wa Congo ungefanya nini kumaliza migogoro ya kivita?

    Wasalaam wakuu, Congo inabembekeza ubia wa kumiliki madini na Marekani ili ipewe Usalama kama malipo Binafsi nadhani Congo ukitoa Lumumba Patrice haijawahi kuwa na kiongozi wa kweli mzalendo anaeipenda nchi yake. Hali hii imeambukiza taifa zima na hasa vijana ambao ni nguvu kazi. Wote wanaota...
  10. PreGE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo inawachonganisha viongozi wa serikali pamoja na wananchi. Hayo ameyasema wakati anaongea na viongozi wa...
  11. Damas Nbumbaro: Rais Samia ameagiza mtumishi yeyote wa umma ambaye ndiye chanzo cha migogoro mimi nihangaike naye

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa ujumbe mkali kwa watumishi wa umma wanaosababisha migogoro kwa kuwadhulumu wananchi, akisema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza hatua kali zichukuliwe dhidi yao. Akizungumza siku ya Jumanne, Machi 4, 2025, katika Uwanja wa TBA...
  12. Ijue mgogoro ya kimataifa kuanzia miaka ya 1920

    Wadau kwema? Ni kawaida kwa taifa moja kuwa na mgogoro na taifa lingine, kama tu jinsi mtu na mtu wanaweza kuwa na migogoro baina yao. Migogoro hii huibuka pale tu ambapo kuna mwingiliano wa kimaslahi baina yao. Sasa basi baada ya vita ya kwanza ya dunia kufikia tamati mwaka wa 1918, kulikuwa...
  13. Samia Legal Aid wamaliza mgogoro wa majirani Mwanza

    Jopo la Wanasheria wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Haki za Binadamu Bi. Beatrice Mpembo Februari 19, 2025 Jijini Mwanza wamefanikiwa kutatua changamoto ya ardhi iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kata ya Nyamagana. Hayo ya yamejili kufuatia...
  14. Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi kudhibiti migogoro kibiti

    Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo. Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
  15. Chanzo kikuu cha Umasikini na migogoro barani Africa ni Ubinafsi

    Great Thinkers. 1..Somemi mpaka.Phd 2. Salini saa 24.hrs 3. Andaeni.michakato sana. 4.Tengenezi.dira hata za miaka 100. 5.Badilisheni.viongozi.muwezavyo. Yote hayo ni bure kama hatutaacha kuwa wabinafsi na ndo kitu.kinatafuna bara lote la africa kutumbukia kwenye umaskini mkubwa. Viongozi na...
  16. Wake wa wanajeshi wa FARDC huko Goma walilia maisha magumu

    Baadhi ya wanawake ambao waume zao walikuwa wanajeshi wa FRDC(jeshi la DRC), wanahangaika sana baada ya waume zao kufia vitani, wengine wapo kambini ilipo MONUSCO, wengine wamekimbilia nchi jirani ya Rwanda. Wanawake hao walibaki na watoto. Wanachokiongelea ni kwamba wamefukuzwa kambini...
  17. Migogoro wa Congo unavyotumia pesa za walipakodi SADC& EAC

    Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita. 1. Presidential jets (16+) 2.'Business class tickets (Ministers & other...
  18. Dawa ya kutokomeza migogoro inayotokea hapa Afrika hususani ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Habari wakuu! Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu. 1.Viongozi wa Africa waungane na wamalize tofauti zao zisio na tija kama tunavyoona baina ya Kagame na Tshisekedi...
  19. Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  20. T

    Mwongozo wa Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Katika Mabaraza ya Kata, 2021

    Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…