migogoro kwenye ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Tesha

    Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

    Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi kila siku mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema...
  2. kadiri kasimba

    Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Migogoro ya Ndoa na Ukatili wa Ndani Mialiko ya kesi za ndoa kwa huduma za ustawi (social welfare) Tafiti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, na Makundi Maalum ilionyesha kuwa hadi Aprili 2025, shughuli za ndoa zilizohusisha migogoro zilizofikishwa kwa huduma za ustawi zilifikia 97,234...
  3. USSR

    Mume amuuwa mkewe na yeye kujinyonga chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia

    Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia. Imeelezwa kuwa marehemu Janeth Stephano(36) alikutwa kitandani...
  4. Pdidy

    Hizi ndoa zina mambo sikia kwa wenzio. Kabla yakuingia fikiria kwanza

    Wapendwa nawatisha la hasha nawaweka haya kukusaidia wewe unaekaribia kuoa ndoa ni taasisi kama taasisi zingine unapoingia jifunze kwanza kukoje je faida na hasara ni zipi Kwanza nitaweza kuvumilia ama lah Natoka kikao kimoja cha wanandoa kwa mjumbe bahati n mjumbe msaidizi na niko kwenye...
  5. Dola Iddy Wa Chelsea

    Kama upo single usitamani ndoa

    Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa, Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera 👋👋👋 Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio maana napinga maisha ya ndoa kwa visa na vitimbi nilivyokumbana navyo Niliteseka sana ku hustle lili...
  6. KikulachoChako

    Shirikisho la Wanaume Wanaopitia Changamoto kwenye Ndoa (SHIWACHANDO). Wajumbe watoa shuhuda

Back
Top Bottom