Soka la Afrika bado linakumbwa na changamoto za ukosefu wa imani na maswali kuhusu uadilifu wake, amesema rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, Jumatano, baada ya Senegal kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Hata hivyo, alitetea uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya...
Niseme kwamba sijapendezwa na wachezaji wa Tanzania pamoja na benchi la ufundi kutaka kuvunja Amani
Refa kachezesha kwa Amani wanataka nini tena?
Kuandamana, kwa lipi? Eti kudai haki, haki gani hiyo? Wasubirie mpaka miaka ijayo hakutakuwa na nyunywinyi wala nyunywinyi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi."
Kauli hiyo ilitolewa na Samia wakati wa kampeni, alipokuwa akionya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.