michembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mchana wa leo nimekula michembe na pepsi,hapa nilipo najamba hatari

    Kwa msiofahamu..michembe ni chakula cha kisukuma. So niko huku similar Nimekaribishwa hiki chakula,tangu nice mchana mpaka sasa tumbo limejaa gesi,najamba mashuzi hatari. Mwenye dawa anisaidie wakuu
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kupika michembe

    Wakuu nimeipa hii bidhaa mahala ila sijui jinsi ya kuandaa. Naombeni ufahamu. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom