michango kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    Teka,hakikisha hakuna ushahidi, Kemea, sema mwenye taarifa za uhakika atuletee, wananchi wakianza kulalamika hamasisha Amani, toa michango kanisani

    Huo ndiyo utaratibu Wakuja kukuteka Kabla hawajaamua nini cha kukufanya wanaangalia kuna ushahidi, kuna watu wameturecord au kupiga picha, kama hamna wanafanya walichopanga kufanya, kama kuna ushahidi wa pich zao wanatoa update kwenye kile kipage chao alafu wanafunga comments. (Hakuna ushahidi...
  2. M

    Kanisa limetuchangisha waumini hela za kujenga Ukumbi , ukumbi umekamilika tunakodishwa kwa hela nyingi sawa sawa na wale wasioujenga

    Kwa nini kanisa haliwapi punguzo la bei wale waumini wake waliochangia pesa kujenga kitegauchumi hicho ?
  3. A

    PreGE2025 Mchungaji ataka Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu liungwe mkono na wadau pamoja na Serikali

    Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akiongea baada ya ibada ya Jumapili iliyopita, Mikanjuni jijini hapa, Kihali alisema anatoa wito kwa wadau wa amani na serikali kwa ujumla wake...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Nimechangia laki 2 ya ujenzi hapa kanisani kwetu, Mtume na Nabii sasa hivi ananisifia sana na juzi kanitabiria nita shinda UBUNGE

    Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu. Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni. Uzi tayari
  5. Q

    Jinsi Rais Samia anavyotoa mamilioni ya sadaka kwa Makanisa

    1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa 2. Milioni 150 kwa KKKT Hai 3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma. 4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma. 5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha. 6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati. 7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa. 8. Milioni 100...
  6. Hakuna anayejali

    Kanisa Katoliki mnazingua, michango imekuwa kero

    Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki...
Back
Top Bottom