miaka 64 ya uhuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna import maji kutoka nje baada ya miaka 64 ya uhuru

    Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji. Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya Uhuru: Watoto wa Kigoma (Ujiji) bado wanasomea chini, Miundombinu yadorora

    Hapa ni Kigoma – Ujiji (Mjini), kijijini vipi? Shule ya Msingi Rusimbi, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa madawati na uchakavu wa majengo na miundombinu, wanafunzi wengi wanalazimika kukaa chini wakati wa masomo. Shule ya...
Back
Top Bottom