Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano
"Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
Wakati leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema Zanzibar ilianza kupambana na changamoto za Muungano tangu yakiwa mambo 11 na hivi sasa yamefikia 41.
Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni Taifa lililopata mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo katika kipindi cha miaka 61 ya Muungano.
Amesema hayo leo (Ijumaa, Aprili 25, 2025) wakati akizungumza na maelfu ya wakazi wa Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.