miaka 5 ya jpm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Revocatus James Ngoja

    Ukweli unaoogopwa: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya?

    UKWELI UNAOOGOPWA: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya? Sehemu ya 2 na Mwisho. Kuna ukweli ambao wengi wanauogopa,na kuna ukimya ambao umejengwa kwa makusudi. Jana nliandika Makala niliyoipa kichwa "Kati ya Ukweli na Ukimya, Miaka Mitano tangu kifo cha John...
  2. Nyankurungu2020

    Baada ya kusikiliza hotuba za kinafiki za wa WanaCCM juu ya shujaa Magufuli (RIP) niliamua kuondoka Rubambangwe na kwenda Three ways kula konyagi

    Bila aibu anasimama kiongozi mnafiki ambae anajua fika misingi na falsafa aliyoisimamia hayati Magufuli shujaa wa Afrika haifuatwi. Eti Magufuli bado yupo mioyoni mwa Watanzania? How ? Kwa kuruhusu ufisadi na upendeleo usio kuwa na tija kwa taifa letu? Leo hii wananchi wananyanyasika kwenye...
  3. Revocatus James Ngoja

    Kati ya ukweli na ukimya, miaka mitano John Pombe Joseph Magufuli

    KATI YA UKWELI NA UKIMYA,MIAKA MITANO (5) TANGU KIFO CHA John Pombe Joseph Magufuli Magufuli, umelala ndio,Na sote tunajua hautoamka tena. Lakini historia haifi pamoja na mtu bali inaishi,inauliza na inaandika. Ni kweli hatutakusahau,sio kwa sababu ulifanya mema makubwa kiasi cha kufuta kila...
Back
Top Bottom