Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amewajia juu wanataaluma na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa kuendelea na masomo kama kawaida wakati mwenzao, Mhadhiri Melkisedeki Kaijage wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akishikiliwa na vyombo vya dola kwa kutumia uhuru wake wa fikra.
Heche amekosoa...
Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limeendelea kuibua mijadala mipana nchini baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, kuibuka na kutoa tahadhari kuhusu usalama wa uhuru wa...
Sakata la kisheria linalomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limechukua sura mpya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha mashtaka yake na kumfungulia rasmi kesi ya ugaidi. Hatua hiyo imezua taharuki na masikitiko makubwa miongoni mwa wanataaluma waliokuwa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imeamuru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, aachiwe kwa dhamana kuanzia Julai 21, 2026, wakati upelelezi wa tuhuma za uchochezi zinazomkabili ukiendelea.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Joachim Tiganga wakati wa usikilizwaji wa...
Chama cha Wanataaluma cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) kimeenda Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kupinga kushikiliwa kwa muda mrefu bila dhamana kwa mhadhiri mwenzao, Melkisedeki Kitunzi Kaijage, anayetuhumiwa na Jeshi la Polisi kuhamasisha maandamano kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa...
Chama cha Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) kimesema mmoja wa wanachama wake, mhadhiri Melkisedeki Kitunzi Kaijage, alikamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi kufuatia tuhuma zinazohusishwa na maandamano ya Julai 7, maarufu kama Sabasaba.
Kwa mujibu wa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.