mgombea urais zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    SI KWELI Mgombea Urais Zanzibar wa ACT Wazalendo, Othman Massoud Othman amekosa fomu ya uteuzi kwa Kutokidhi Vigezo vya kuwa Mgombea

    Wakuu habari, Msaada hapa kwa ufafanuzi hii habari ni kama ACT Wazalendo huu mwaka wakubali tu kushindwa yaani siyo Bara wala Visiwani kote ngoma droo
  2. R

    GE2025 Mgombea Urais Chama cha AAFP Zanzibar, Said Soud arejesha fomu ZEC

    Mtiania wa urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, wakati wa kurejesha fomu hizo katika ofisi ya ZEC, Maisara, Unguja, Zanzibar leo, Septemba 10, 2025. Picha...
  3. Nipe Maji

    GE2025 Mgombea urais Zanzibar: Tusiwapeleke Wazanzibari kwenye matatizo kwa wivu wa madaraka

    Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea Urais Zanzibar kupitia chama AAFP: Msajili afute vyama vinavyoashiria fujo

    Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othaman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Ujumbe wa Rais Dkt Mwinyi kwa waliokuwa wakidhani wana nafasi ya kugombea kupitia CCM, asema basi watambue hawana wasubiri 2030

    "Nimekuja kutoa shukrani kwa kuteuliwa kuwa mgombea pekee wale waliokuwa wanadhani wana nafasi basi watambue hawana wasubiri 2030 ndio waje" Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Kiwani, Kusini Pemba Soma pia: Pre...
Back
Top Bottom