mgombea urais ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Kihongosi: Nchi haiongozwi kwa Jinsia, CCM imeleta Mgombea mwenye uwezo

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Jijini Mwanza, Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ameeleza kuwa suala la uongozi wa nchi haizingatii Jinsia bali kwa Maarifa, kanuni, katiba na miongozo " nchi...
  2. R

    GE2025 Ole sendeka: Kuna watu ndani ya CCM wamenuna na wanaendelea kufadhili kampeni na Propaganda kubomoa heshima ya Mgombea Urais CCM

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewaonya vikali wanaCCM wanaoshiriki kubomoa heshima ya Nchi na heshima ya Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ya kutokuteuliwa na Chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 UWT Arusha tunatarajia kuwa na wanawake zaidi ya elfu 25 katika mkutano wa mgombea Urais CCM Oktoba 2

    Arusha kuna mambo jamaani, hizi bwebwe zote bila shaka anaye ratibu ni huyo mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda. Naendelea kunoti kitu huyu Makonda kuna jambo lake zito anazidi kulitengeneza kwenye uongozi soon litakuwa rasmi. ================= Hamasa ya mapokezi ya mgombea urais...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Liwaka na wananchi wapiga simu kwa mgombea urais CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Nachingwea kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Fadhili ametuma ujumbe kwa Samia Suluhu Hassan mgombea Urais CCM kumuonyesha jinsi Wananchi wa Kata ya Namapwia wanavyomkubali na wapo tayari kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi October. Una maoni gani?
  5. R

    GE2025 ACT Wazalendo kumwekea Pingamizi Samia ikidai uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitaweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kikidai kuwa uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Septemba 2025 jijini Dar es...
  6. R

    GE2025 Mwenyekiti wa TANECU, Karimu Chipola amuombea kura Mgombea Urais CCM Rais Samia

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Tandahimba na Newala (TANECU LTD) Karimu Chipola amemuombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na mchango wake mkubwa katika sekta ya kilimo, hususan zao la korosho Akizungumza katika uzinduzi wa...
  7. R

    GE2025 Mapokezi ya Mgombea mwenza urais CCM Balozi Emmanuel Nchimbi Longido- Arusha

    Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amepokewa kwa kishindo alipowasili kwenye uwanja wa Polisi,Longido kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Ijumaa Septemba 12,2025...
  8. R

    GE2025 Walioahidi kushona sare kwa ajili ya Mgombea Urais CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wamewasili uwanjani Songwe

    Walioahidi kushona sare kumpokea Mgombea Urais CCM Dk. Samia wameanza kuwasili uwanja wa Mwaka Tunduma Mkoani Songwe.
  9. toto2000

    Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  10. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais CCM aahidi Afya, Barabara, na kilimo bora Morogoro

    (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu, afya na kilimo mkoani Morogoro endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo, Ijumaa Agosti 29, 2025, katika kampeni mkoani humo, Samia...
  11. R

    Mgombea Urais CCM ameshachapia huko yupo Ngerengere anataja Ngorongoro kila wakati

    Wakuu, Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana. Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani kama anaelewa anachohutubia
  12. Z

    GE2025 Kampeni za Mgombea Urais CCM: Ahadi zisizoeleweka, tena ni nje ya Dira ya taifa 2050

    Kwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya. Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na...
  13. Rashda Zunde

    GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  14. E

    GE2025 Kesi ya Dk Malisa dhidi ya CCM yasogezwa hadi Agosti 19

    Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa iliyokuwa isikilizwe Agosti 14, sasa imesogezwa hadi Agosti 19, 2025. Katika shauri hilo linalosikilizwa na jopo la mawakili watatu, Dkt Malisa anaiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika...
  15. B

    GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
  16. W

    Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  17. Madumbikaya

    GE2025 Mzee Butiku: Mchakato wa kupata Mgombea urais CCM mwaka 2025 ulikiuka taratibu za Chama, Lakini tunazidi kukua kama Taifa

    Akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kinachorushwa live leo tarehe 23 mwezi wa 07 mwaka 2025 ,Mzee butiku amesema Mosi,Utaratibu uliotumika kupata mgombea wa urais wa chama mwaka 2025 ulikosewa na haupo kikatiba ndani ya ccm,Alishangaa wajumbe kulazimisha hoja halafu baadae ndio wakaanza...
  18. Just Pray

    GE2025 Aliyepinga uteuzi mgombea Urais CCM aibuka tena, asema sio tu katiba ya chama iliyovunjwa, bali hata katiba ya Tanzania ilivunjwa

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  19. E

    GE2025 Utata Samia kupitishwa kuwa mgombea urais CCM 2025

    Minong’ono ya kuteuliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Januari 19, 2025 jijini Dodoma, imeendelea kutawala na safari hii imnepata kasi baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kutangaza kujiuzulu...
  20. Valencia_UPV

    Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
Back
Top Bottom