mgombea pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, CCM kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee ni mkakati wa kumtengenezea njia kiulani mtu fulani kwa 2030?

    Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021. Lakini kilofanyika Dodoma miezi michache ilopita katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikuwa ni kumtangaza rais Samia...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Joseph Mahando: Kisheria CCM hawajakosea kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee

    Wakuu Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu 2025 katika ngazi ya urais. Pia, Soma: Aliyefukuzwa...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho. Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
Back
Top Bottom