Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani.
Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria.
Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
Kitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa.
Katiba Mpya ya Tanzania inapaswa kuweka mchakato wa kumtafuta Mgombea Mwenza sawa na ule wa kumtafuta...
Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite!
Naona polisi wanasimamia kuhakikisha gari zinasimama kumpisha mgombea mwenza
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE
Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KISHAPU – SHINYANGA
Mgombea Mwenza wa Nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi, akiwasili Kishapu mkoani Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, ambapo alipokelewa kwa shangwe na...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
Wafuasi wa mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha UMD wakimsindikiza mgombea wao Mwajuma Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Kwa ajili kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo.
Source EATV...
Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani...
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya...
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa...
Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo,
Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM,
wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
My friends, ladies and gentlemen,
Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi...
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya...
Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe.
Azimio la kumuidhinisha Dr...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni chama kiongozi Barani Afrika na ndicho chama ambacho hutoa Dira na mstakabali wa Taifa hili. Ambapo mambo yake mengi yamekuwa kama Dira na muelekeo wa Taifa hili.
Lakini pia vitu vingi sana ambavyo vimekuwa vikifanywa na CCM vimekuwa vikiigwa sana na vyama vya...
Kitendo cha CCM kupitisha wagombea wao kabla ya kipenga kupigwa na kinyume na katiba yao, kinatia shaka.
Je kuna mgawanyiko na kutoelewana kwenye chama cha machawa?
Je wamefanya hivyo kuogopa nini wakati tunaambiwa mama anaupiga mwingi?
Je hii inazika ndoto za makada wenye ushawishi mkubwa...
===
Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025.
Uteuzi na mabadiliko haya yataanza rasmi baada ya mwezi July Bunge litakapovunjwa hivyo Dkt Philip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.