mgawanyo wa mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

    Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria. (me na ke). Chama hiki kilianzishwa baada ya kushamiri kwa upigaji, ukandamizaji wa haki na ufekiji wa hisia ili kujitengenezea mazingira ya kumdhurumu au kumdhuru...
  2. Mafyangula

    Wakili Marijani: Mnyika ameupotosha Umma, shauri la mgawanyo wa mali wa CHADEMA

    Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua...
  3. The Palm Beach

    MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  4. Parabolic

    Hoja nne za CHADEMA Mahakama ya Rufani katika mapitio kesi ya mgawanyo wa mali

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026. Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala, akizungumza kwa niaba ya Jopo la Mawakili wa Chama hicho amesema kuwa Mahakama ya Rufaa imesikiliza na kupokea hoja zote za maombi ya marejeo ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, kesi...
  6. figganigga

    Dar: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wazuiliwa tena kuingia Mahakama Kuu

    Salaam, Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
  7. M

    Hatma ya kesi mgawanyo wa mali CHADEMA ni leo Machi 6, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za maombi yake ya kutaka kujumuishwa katika kesi ya mgawanyo wa rasilimali za Chama hicho. Soma Mahakama Kuu...
Back
Top Bottom