Salama wakuu.
Kwa wale tuliobahatika kusoma uchumi kwa kiasi chake,hebu tuzungumze kuhusu hili suala la mfumuko wa bei "inflation" .Nimekuwa nikiona mara kadhaa serikali ikitoa takwimu na namna ambavyo inapambana kudhibiti mfumuko wa bei nchini,lakini hii imekuwa ikinipa maswali flani flani...