mfaume

Kaoru Mfaume is an American-born entertainment producer who has worked extensively in the anime industry. He first worked with Island Pictures in 1995 and then joined Manga Entertainment as an Acquisitions and Production Manager in 1996. He continued to work in Acquisitions until 2005 when he became Managing Director. Some of his high-profile anime projects include Dead Leaves, Blood: The Last Vampire, Street Fighter Alpha: The Animation, Street Fighter Alpha: Generations and Ghost in the Shell: Stand Alone Complex. After leaving Manga Entertainment in 2007, Mfaume founded Endeleizo Co., Ltd, an intellectual property management, production and consultation company. In 2011, he founded Arigato Blueprint, a project supporting communities and institutions that are in need of help in the disaster areas in Japan, following the 2011 Tōhoku earthquake and tsunami.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kama Mfaume Mfaume kashinda hilo pambano na mmalawi, tusilaume tume za uchaguzi Afrika kupanga matokeo

    Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji. Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa maswimbi Tanzania .Ni aibu. Mfaume alipigwa mpaka ukumbi ulikuwa kimya wakati wote wa mchezo...
  2. Majaji wa pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi hamna akili

    Nimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.
  3. GE2025 Khadija Mfaume achukua fomu kuwania ubunge viti maalum Mwanza

    Khadija Mfaume Liganga, maarufu kama Dida, ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake kupitia Mkoa wa Mwanza. Dida ni mwanaharakati mashuhuri wa haki...
  4. Juma Said Mfaume: Je, tumpe Tuzo ya Man of The Year!?

    Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!? Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na kuacha "matatizo"kwa mke wake lakini yeye aliamua kuwavaa oya na kuwasababishia "matatizo" Zamani kabisa...
  5. Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  6. Pambano la Mfaume Mfaume na Iddy Pialali lavunjwa raundi ya kwanza

    Licha ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mchezo wa ndondi, pambano hilo limeishia Raundi ya Kwanza kutokana na Iddy Pialali kupata majeraha baada ya kugongana na mpinzani wake. Wakati wakirushiana makonde Pialali alionekana akilalamika, baada ya mwamuzi kusimamisha ndipo ikabainika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…