meter

The metre (or meter in US spelling; symbol: m) is the base unit of length in the International System of Units (SI). Since 2019, the metre has been defined as the length of the path travelled by light in vacuum during a time interval of 1/299792458 of a second, where the second is defined by a hyperfine transition frequency of caesium.
The metre was originally defined in 1791 by the French National Assembly as one ten-millionth of the distance from the equator to the North Pole along a great circle, so the Earth's polar circumference is approximately 40000 km.
In 1799, the metre was redefined in terms of a prototype metre bar, the bar used was changed in 1889, and in 1960 the metre was redefined in terms of a certain number of wavelengths of a certain emission line of krypton-86. The current definition was adopted in 1983 and modified slightly in 2002 to clarify that the metre is a measure of proper length. From 1983 until 2019, the metre was formally defined as the length of the path travelled by light in vacuum in 1/299792458 of a second. After the 2019 redefinition of the SI base units, this definition was rephrased to include the definition of a second in terms of the caesium frequency ΔνCs. This series of amendments did not alter the size of the metre significantly – today Earth's polar circumference measures 40007.863 km, a change of 0.022% from the original value of exactly 40000 km, which also includes improvements in the accuracy of measuring the circumference.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Responded Wizi wa Mita za Maji Moshi unaendelea, wanaoiba wanapeleka wapi? Bora Mita zikae ndani ya uzio

    Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano zimeng'olewa eneo ninaloishi. Hili jambo napata mashaka makubwa sana wahusika wa hili tatizo...
  2. Mhaya

    Je, inawezekana kuhamisha unit za umeme wa Single phase kutoka meter moja kwenda meter nyingine?

    Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine? Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
  3. Bakulutu

    Nawezaje pata/calculate square meter kwa eneo lenye pembe 4 lenye urefu tofauti?

    Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
  4. Royal Son

    Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  5. Wakusoma 12

    KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  6. D

    KERO Responded Wateja tunaotumia Mita za Maji za Prepaid - Bukoba tunateseka, ikiwezakana waturudishie Mita za zamani

    Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera. Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya. Hali hii imetuathiri...
  7. FRANCIS DA DON

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
  8. My hair my crown

    Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

    Karibuni kiwanja wana jamiiforum, kipo sehemu nzuri kutoka kiluvya madukani mpaka kilipo nauli ni buku. Kiwanja hakina udalali na maelewano yapo. kwa mawasiliano zaidi karibu +255617011077 +255713392367
  9. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  10. FRANCIS DA DON

    Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

    Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter? Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana. Hivi...
Back
Top Bottom