MATATIZO YA AFYA YA AKILI.
-Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19, takriban mtu 1 Kati ya 8 Duniani kote walikumbwa na matatizo ya kiakili, hata hivyo Msaada sahihi wa miundombinu na kiuchumi kwa ajili yao, ulikosekana
-Matatizo ya afya ya akili yapo katika...