Salaam. Nembo niliyoibuni (nembo A) ilifanikiwa kuingia 3 bora shindano la Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark) - MADE IN TANZANIA. Shindano lilikuwa na jumla ya washiriki 83.
Kama member wa JF, nilikuja hapa kuomba support yenu katika zoezi la upigaji kura ambapo members wengi walinipigia...